MENEJA wa klabu ya
Manchester United amesema nahodha wake Wayne Rooney anatarajiwa
kufanyiwa vipimo zaidi leo ili kubaini ukubwa wa majeraha ya goti
yanayomkabili. Rooney mwenye umri wa miaka 29 alikosa mchezo walioshinda
mabao 2-1 jana dhidi ya Stoke City baada ya kupata tatizo hilo katika
mchezo wa Jumamosi iliyopita dhidi ya Hull City. Akihojiwa Van Gaal
amesema wanasubiri vipimo alivyofanyiwa ili kubaini ukubwa wa tatizo
lake. Toka kuanza kwa msimu United imekuwa ikisumbuliwa na majeruhi huku
wachezaji wengi wakiwa kutoka kikosi cha kwanza ambao wamekosa mechi
nyingi muhimu mpaka sasa.
TANGAZA NASI: +255 655 442 255
CHANZI OPEN SCHOOL
Jumatano, 3 Desemba 2014
HATMA YA ROONEY BADO MASHAKANI.
About asantemuya
Soratemplates is a blogger resources site is a provider of high quality blogger template with premium looking layout and robust design. The main mission of templatesyard is to provide the best quality blogger templates.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA
Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni