MENEJA wa klabu ya
Arsenal, Arsene Wenger amesisitiza mbio za ubingwa wa Ligi Kuu bado
hazijaisha pamoja na Chelsea kuanza vyema msimu huu. Chelsea iliyoko
chini ya Jose Mourinho kwasasa haijafungwa na wadau wamekuwa wakianza
kukifananisha na kikosi cha Arsenal ambacho kiliwahi kumaliza msimu bila
kufungwa. Klabu ya Manchester City kwasasa wako nyuma ya Chelsea kwa
alama sita na Wenger amesema kuna timu kadhaa ambazo bado zitaendelea
kuwafukuza vinara hao kwa mechi zilizobaki. Kocha huyo aliendelea kudai
kuwa haiwezekani kudai mbio za ubingwa zimekwisha baada ya kuchezwa
mechi 13 au 14 hivyo anaamini bado ubingwa uko wazi.
TANGAZA NASI: +255 655 442 255
CHANZI OPEN SCHOOL
Jumatano, 3 Desemba 2014
MBIO ZA UBINGWA BADO - WENGER.
About asantemuya
Soratemplates is a blogger resources site is a provider of high quality blogger template with premium looking layout and robust design. The main mission of templatesyard is to provide the best quality blogger templates.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA
Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni