STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumatano, 3 Desemba 2014

MOURINHO ASISITIZA HAZARD KUSAINI MKATABA MPYA.

MENEJA wa klabu ya Chelsea Jose Mourinho ana uhakika Eden Hazard hivi karibuni atasaini mkataba mpya na kuendelea kubakia Stamford Bridge. Hazard amekuwa katika mazungumzo na klabu hiyo toka Juni na yuko tayari kusaini mkataba mpya ambao utamfanya kuwa mchezaji anayelipwa zaidi katika historia ya klabu hiyo. Nyota huyo amekuwa akihusishwa na tetesi za kuhamia Paris Saint-Germain msimu uliopita lakini wakati akizungumzia mipango ya kikosi chake Mourinho ameweka wazi kuwa hana shaka juu ya mustakabali wa mshambuliaji huyo. Mourinho amesema ukiangalia kikosi chake wachezaji wake wengi wako chini ya miaka 30 ukimuondoa Didier Drogba na John Terry ndio maana anataka kuendelea nao ili waweze kujiimarisha zaidi.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox