MSHAMBULIAJI nyota wa
Barcelona Luis Suarez amesisitiza kuwa hakwaziki na ukame wa mabao
alionao La Liga. Nyota huyo wa kimataifa wa Uruguay aliifungia Barcelona
bao lake la kwanza katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya
APOEL Nicosia lakini mpaka sasa bado hajafunga bao katika La Liga pamoja
na kucheza mechi tano. Akihojiwa Suarez amesema jambo hilo halimuumizi
sana kichwa kwani ushindi ndio jambo la muhimu hata kama mabao hajafunga
yeye. Nyota huyo aliendelea kudai kuwa najua kuwa ameajiriwa Barcelona
kufunga mabao lakini hilo halimtishi sana kwani anatoa mchango kwa njia
nyingine kwasasa.
TANGAZA NASI: +255 655 442 255
CHANZI OPEN SCHOOL
Jumanne, 2 Desemba 2014
SIKWAZIKI NA UKAME WA MABAO - SUAREZ.
About asantemuya
Soratemplates is a blogger resources site is a provider of high quality blogger template with premium looking layout and robust design. The main mission of templatesyard is to provide the best quality blogger templates.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA
Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni