Chelsea
imefanikiwa kuing'oa Liverpool kwa bao 1-0 katika mechi iliyolazimika
kupigwa kwa dakika 120 kwenye dimba la Stamford Bridge, London.
Beki
Ivanovic ndiye aliyefunga bao pekee baada ya timu hizo kupambana kiume
na kibabe. Mechi ya kwanza, timu hizo zilitoka sare ya bao 1-1 na
michuano ya Carling haichukui idadi ya mabao kwenye sare (sare zote ziko
sawa ndiyo maana zikaongezewa dakika 30 zaidi).
Mshindi kati ya Sheffield na Tottenham ndiye atakutana na vijana hao wa Mourinho.
CHELSEA: Courtois 7.5, Ivanovic
6.5, Zouma 6, Terry 6.5, Luis 6 (Azpilicueta 78), Fabregas 6 (Ramires 50),
Matic 6, Willian 7 (Drogba 119), Oscar 6.5, Hazard 8, Costa 7.5.
Subs not used: Cech, Ake, Drogba, Remy,
Cahill.
Booked: Terry, Ivanovic,
Costa, Oscar
Goal: Ivanovic 94
Manager: Jose Mourinho 7
LIVERPOOL: Mignolet 7.5, Can 6,
Skrtel 7, Sakho 6.5 (Johnson 57), Markovic 6 (Balotelli 70), Henderson 7, Lucas
7.5, Moreno 7 (Lambert 105), Coutinho 8, Gerrard 6, Sterling 7.5.
Subs not used: Ward, Lovren, Lallana,
Allen.
Booked: Henderson, Lucas,
Gerrard, Can, Skrtel
Manager: Brendan Rodgers 7
Referee Michael Oliver
(Northumberland)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni