Mshambuliaji wa Chelsea, Diego Costa (kulia) akiondoka na mpira baada ya kumkanyaga Emre Can
PAUL Scholes anaamini kuwa Diego Costa anatakiwa kuigwa kwa uvumilivu wake awapo uwanjani na si kukosolewa kwa kosa alilofanya.
Mshambuliaji huyo wa kimataifa wa England amefungiwa mechi tatu kwa kitendo cha kumkanyaga mchezaji wa Liverpool, Emre Can wakati wa mechi yao ya pili ya nusu fainali ya kombe la Ligi iliyopigwa jumanne iliyopita uwanja wa Stamford Bridge.
Baadaye Costa alijihusisha katika kosa lingine la kumchezea vibaya beki wa Liverpool Martin Skrtel, lakini FA imesema haitamchukulia hatua yoyote kutokana na tukio hilo.
Costa akikanyaga mguu wa kulia wa Can
Licha
ya hasira za Costa, gwiji wa Manchester United, Scholes amedai
mshambuliaji huyo wa The Blues anatakiwa kuheshimiwa kufuatia kuchukizwa
na Skrtel
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni