FRANK
Lampard anarudi tena Stamford Bridge wakati timu yake ya Manchester
City itakapochuana na Chelsea kesho jumamosi katika mechi ya ligi kuu
England.
Mwezi
septemba mwaka jana Lampard aliifungia Man City goli la kusawazisha
katika sare ya 1-1 na kuinyima klabu yake ya zamani pointi tatu, lakini
aligoma kushangilia kabisa.
Baba
yake mzazi , Lampard Snr ameweka wazi kuwa mwanae atafanya hivyo tena
kama atafunga kesho kwasababu bado wana tiketi za Stamford Bridge.
HIZI NDIO TAKWIMU ZA LAMPARD JR ALIPOKUWA CHELSEA NA SASA MAN CITY
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni