STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Ijumaa, 6 Machi 2015

HERRERA AKIRI KUWAWEKA MASHABIKI WA UNITED ROHO JUU.

KIUNGO wa Manchester United, Ander Herrera anadhani wanawaweka mashabiki wao katika hali ngumu kutokana na kiwango kisicho cha kuridhisha wanachocheza. Kikosi cha United kinachonolewa na Louis van Gaal ilibidi kisubiri makosa ya safu ya ulinzi ya Newcastle ili waweze kupata ushindi Juzi usiku baada ya Ahley Young kufunga bao katika dakika ya 89. Ushindi wa bao 1-0 waliopata unakuwa wa tano kwa United katika michezo yao 10 iliyopita wakiwa wamepoteza michezo mingine dhidi ya timu kama Swansea City na Southampton hivi karibuni. Herrera amesema ukipata ushindi katika dakika za mwisho unakuwa na furaha lakini anadhani wanapaswa kuimarika na kufunga mabao mapema kwani wanawapa tabu mashabiki wao.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox