STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumanne, 3 Machi 2015

Serikali yasitisha matumizi ya tiketi za elektroniki Taifa


Naibu Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Juma Nkamia ametangaza kusitishwa kwa matumizi ya tiketi za kieletronini
Naibu Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Mh. Juma Nkamia leo ametangaza kusitishwa kwa matumizi ya tiketi za kieletronini
Serikali imesitisha matumizi ya tiketi za elektroniki kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam kuanzia leo (Machi 3, 2015) hadi kasoro zilizopo katika matumizi ya tiketi hizo zitakapoondolewa.
Uamuzi huo umetangazwa leo (Machi 3, 2015) jijini Dar es Salaam na Naibu Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Mheshimiwa Juma Nkamia mbele ya viongozi wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) na benki ya CRDB.
Serikali imeamua kusitisha matumizi ya tiketi hizo kutokana na CRDB kushindwa kupambana na kudhibiti tiketi ‘feki’ ambazo zimekua zikitumiwa na mashabiki kwenye viwanja vingi hali iliyopekea timu kupata mapato hafifu kwenye baadhi ya mechi.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox