NAHODHA wa Chelsea, John
Terry amesisitiza amebakisha miaka michache katika timu hiyo huku
akidai hana mpango wa kucheza popote baada ya hapo. Terry ambaye mkataba
wake unamalizika mwishoni mwa msimu huu, alifunga bao la kwanza katika
ushindi wa mabao 2-0 waliopata katika mchezo wa fainali ya Kombe la Ligi
dhidi ya Tottenham Hotspurs Jumapili iliyopita. Terry amesema kama huu
ndio utakuwa mwaka wake wa mwisho katika soka anataka kuumaliza kwa
mafanikio. Nyota huyo aliendelea kudai kuwa kwasasa klabu ndio
itakayoamua juu ya mustakabali wake kama aendelee au la, lakini hana
mpango wa kwenda popote kwingine. Chelsea ambao wanaongoza Ligi Kuu kwa
tofauti ya alama tano wanasafiri kuifuata West Ham United kesho.
TANGAZA NASI: +255 655 442 255
CHANZI OPEN SCHOOL
Jumanne, 3 Machi 2015
TERRY ADAI HANA MPANGO WA KWENDA POPOTE AKIONDOKA CHELSEA.
About asantemuya
Soratemplates is a blogger resources site is a provider of high quality blogger template with premium looking layout and robust design. The main mission of templatesyard is to provide the best quality blogger templates.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA
Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni