STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumatano, 29 Aprili 2015

KUFUNGWA KUBAYA..... KOCHA LEICESTER AMPOROMOSHEA 'MITUSI' MWANDISHI WA HABARI BAADA YA KUCHAPWA 3-1 NA CHELSEA


KOCHA wa Leicester City, Nigel Pearson amemshambulia kwa matusi makali Mwandishi wa habari akimfananisha na ndege aina ya mbuni kufuatia kichapo cha 3-1 walichovuna jana usiku kutoka kwa Chelsea.
Bosi huyo wa Leicester alimtukana mwandishi Ian Baker aliyemuuliza swali kuhusu madhaifu ya wachezaji wake yaliyosababisha timu kuboronga msimu mzima.
Pearson, hakufurahishwa na namna alivyoulizwa na kuamua kumtukana mwandishi akisema: "Wewe lazima ni punguani sana, sana, punguani au mpambavu kabisa".
Kocha huyo alisema kichwa cha mwandishi kipo kwenye mchanga na kumwita ni mbuni.

Baker amelisema maneno haya baada ya kutukunwa

JISOMEE MITUSI HIYO HAPA CHINI

FULL TRANSCRIPT FROM NIGEL PEARSON'S POST-MATCH PRESS CONFERENCE 

Baker: What criticism are you talking about?
Pearson: Have you been on holiday for six months? Have you been away for six months?
I am not quite sure what specific criticism you are referring to?
I think you must have been either head in the clouds or away on holiday or reporting on a different team because if you don’t know the answer to that question your question is absolutely unbelievable the fact you do not understand where I am coming from. If you don’t know the answer to that question then I think you are an ostrich. Your head must be in the sand. Is your head in the sand? Are you flexible enough to get your head in the sand? My suspicion would be no.
Probably not.
I can, you can’t. You can’t. Listen you have been here often enough and for you to ask that question, you are either being very, very silly or you are being absolutely stupid, one of the two because for you to ask that question, I am sorry son, you are daft.
There hasn’t been much harsh criticism of the players.
You are wrong. No, you are wrong. You have been in here, I know you have so don’t give that crap with me, please don’t give that crap with me. I will smile at you because I can afford to smile at you. Now do you want to ask a different question or do you want to ask it differently. Come on, ask it. Ask it or are you not capable?
I just don’t know what you, erm…
You don’t know. What’s erm?
I don’t know how you’ve taken that question.
Well you must be very stupid. I’m sorry.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox