Mshambuliaji nyota wa
Atletico Madrid, Fernando Torres ametokea benchi na kuibeba timu yake.
Torres amefunga bao pekee
wakati Atletico ikishinda bao 1-0 dhidi ya Villareal.
Mshambuliaji huyo amerejea
Atletico akitokea AC Milan ambayo ilimnunua kutokea Chelsea alikoshindwa
kuonyesha cheche zake.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni