Kocha mkuu wa Yanga Hans van der Pluijm mekiweka hadharani kikosi kitakachoingia uwanjani kuwavaa Etoile du Sahel kwenye mchezo utakaochezwa leo usiku mjini Sousse, Tunisia ukiwa ni mchezo wa marudiano wa kombe la Shirikisho barani Afrika.
Kikosi cha Yanga kitakachoanza leo
1.Ally Mustafa ‘Barthez’
2.Mbuyu Twite
3.Oscar Joshua
4.Kelvin Yondani
5.Nadir Haroub ‘Cannavaro’
6.Said Juma Makapu
7.Simon Msuva
8.Salum Telela
9. Amis Tambwe
10.Mrisho Ngassa
11.Kpah Sherman
Watakao anzia benchi
Deogratius Munishi “Dida”
Juma Abdul
Rajab Zahir
Andrey Coutinho
Nizar Halfan
Jerry Tegete
Kocha Mkuu
Hans Van Pluijm
Kocha Msaidizi
Charles Boniface Mkwasa
Meneja
Hafidh Saleh
MUDA
Saa 3 : 00 usiku (Afrika Mashariki)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni