Mabondia Floyd Mayweather na Manny
Pacquiao wamepima uzito ikiwa ni hatua muhimu ya kuthibitisha pambano la kesho.
Kukutana kwao na kupima uzito, maana
yake kila kitu kimekamilika na kinachosubiriwa ni ndonga tu kesho.
Ndiyo pambano ghali zaidi katika
historia ya ngumi duniani na linasubiriwa kwa hamu duniani kote wakati wawili
hao wakipambana jijini Las Vegas, Marekani.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni