Kiungo mwenye kasi wa
Manchester United, Memphis Depay anaonekana atasaidia kuuchangamsha mfumo wa
Kocha Louis van Gaal.
Depay raia wa Uholanzi atatumika
katika mfumo wa 4-3-1-2 wa van Gaal ambao ulikuwa ukilalamikiwa.
Pamoja na Depay, mwingine ambaye anatarajiwa kusainiwa na Man United ni beki wa kati ya Dortmund, Mats Hummels pia kiungo wa timu hiyo ya Ujerumani, Nathaniel Clyne.
Pamoja na Depay, mwingine ambaye anatarajiwa kusainiwa na Man United ni beki wa kati ya Dortmund, Mats Hummels pia kiungo wa timu hiyo ya Ujerumani, Nathaniel Clyne.
Mfumo huo ulikuwa ukionekana si mzuri kwa wachezaji wa Manchester United. Lakini sasa umebadilika na kuonekana unaweza kufanya kazi.
Kwani katika mechi za
mwishoni, kutoka nafasi ya saba, Man United imekuwa kati ya timu zinazowania
nafasi nne za juu.
Tayaro Chelsea ni mabingwa, Arsenal na Man City zinapambana katika nafasi ya pili na Man United inakomaa kuipata ya nne.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni