Wakati Barcelona na Bayern wamemalizana leo, kazi
inabaki kwa Real Madrid dhidi ya Juventus.
Cristiano Ronaldo ndiye tegemeo la Madrid kuing’oa
Juventus ambayo haipaswi kudhalauliwa hata kidogo.
Ronaldo amefanya mazoezi na wenzake huku akionekana
kuwa fiti na msuli wake, nomaa.
Je, Juventus wataweza kumzuia asiwamalize. Si mechi lahisi, lazima wapambane kila upande.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni