STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumatatu, 11 Mei 2015

CHELSEA YASAJILI KINDA LA HATARI KUTOKA BRAZIL

Kinda la Kibrazil, Nathan ametua Chelsea na kumwaga wino kwa pauni milioni 4.5.

Kijana huyo aliyekuwa nyota katika kikosi cha Brazil chini ya miaka 19, amesaini mkataba wa kuichezea Chelsea jana Jumatatu.
Baada ya hapo akatupia kwenye mtandao wa kijamii akiwa anasaini na baadaye akipiga picha katika makao makuu ya klabu hiyo jijini London.

Kijana huyo amekuwa gumzo sana kutokana na uwezo wake mkubwa na timu kadhaa zilikuwa zikimuwania kabla ya Chelsea kumnasa.

Hata hivyo, bado Chelsea haijatoa taarifa rasmi kuhusiana na kumnasa Nathan.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox