STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumanne, 26 Mei 2015

INAPENDEZA... ANGALIA MAPICHA MABINGWA CHELSEA 'THE BLUES" WAKIZUNGUSHA KOMBE MITAA YA LONDON MAGHARIBI

Mabingwa wapya wa England, Chelsea, Leo wamezunguka Mitaa ya London ya Magharibi wakiwa juu ya Basi la Ghorofa la wazi wakiwa na Kombe lao la Ubingwa wa Ligi Kuu England pamoja na Vikombe vingine Vitatu ambavyo Klabu hiyo ilitwaa Msimu huu. 

Chelsea wametwaa Ubingwa huu wa England kwa mara ya kwanza baada ya Miaka Mitano.Baada ya Jana kukabidhiwa Kombe la Ubingwa na kufanya sherehe Usiku kucha Leo wamezungukana Mitaa ya London huku Washabiki wakisimama kando kando na kuwashangilia.
Juu ya Basi hilo la Ghorofa la wazi walikuwemo Wachezaji wa Timu ya Kwanza ya Chelsea wakiwa na Kombe la Ligi Kuu England na lile la Capital One Cup pamoja na wa Timu ya Vijana ambao nao walikuwa na Kombe la Vijana la FA na lile la Vijana la Ligi ya UEFA.
Didier Drogba na Fabrigas wakipeta na Mwali wao mpyaDiego Costa na FabrigasDrogba na raha zake na Mwali mkononi!Drogba akiwaonesha Mashabiki Kombe lao wakati wa matembezi hayo leo hii jumatatu!Taswira kamiliKwenye mitaa ya LondonKepteni john terryMeneja Jose nae aliwapungia mkono Mashabikikwenye Mitaa

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox