STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumanne, 26 Mei 2015

KIUNGO ILKAY GUNDOGAN WA BORUSSIA DORTMUN KUTUA OLD TRAFFORD

Kwa mujibu wa gazeti la Goal, kiungo wa Borussia Dortmund, Ilkay Gundogan (pichani) amekubaliana maslahi binafsi na Manchester United tayari kwa usajili wa kwenda Old Trafford mwezi ujao. Gundogan, 24, tayari alishatangaza kuwa hatarefusha mkataba wake Dortmund lakini ada baina ya klabu hizo mbili bado haijafikiwa. 


Kocha wa United Louis van Gaal wiki iliyopita alikiri kuwa anatafuta kiungo mchezajishaji kwaajili ya dirisha la usajili la kiangazi. Boss huyo wa United alisema: "Namba 6 ni sehemu muhimu katika timu. "Nina maeneo mengi ntakayoboresha na namba 6 ni mojawapo."

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox