LIGI
kuu England imefikia tamati jioni hii kwa timu zote 20 kushuka dimbani,
lakini stori kubwa ni Majogoo wa jiji, Liverpool kumaliza msimu kwa
kupokea kipigo kikubwa cha magoli 6-1 kutoka kwa Stoke City.
Arsenal nao wakicheza Emirates wameitandika 4-1 West Bromwich Albion.
Chelsea wameishindilia 3-1 Sunderland, wakati Manchester United wakicheza ugenini wametoka 0-0 dhidi ya Hull City.
MATOKEO YA MECHI ZOTE ZA MWISHO EPL LEO
May 24
FT
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni