Floyd Mayweather amemaliza ubishi kwa kumtwanga Manny
Pacquiao katika pambano lao lililokuwa likisubiriwa kwa hamu kubwa.
Katika pambano ambalo Pacquiao alikuwa
akishangiliwa sana, ngumi zake nyingi zilionekana kuwavutia mashabiki, lakini
si zilizompa pointi kujenga ushindi.
Mayweather alikuwa makini zaidi na kuweza kupiga ngumi nyingi zenye
pointi.
Majaji wote watatu walimpa Mayweather ushindi wa
118-110, 116-112, 116-112.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni