STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumatatu, 4 Mei 2015

ROBIN VAN PERSIE APEWA ANGALIZO KWA MECHI 4 ZILIZOBAKI MSIMU HUU

Straika wa Man United robin Van Persie ameripotiwa kuwa anamechi nne tu zilizobaki msimu huu wa 2014/15 kuonesha Cheche zake ili kuokoa hatima yake ya kubaki Old Trafford la sivyo atapigwa chini mwishoni mwa msimu. Katika Mechi hizo 4 zilizobaki wenda akawa anapagwa katika kipindi cha kwanza. Katika Msimu huu Van Persie amecheza mechi 25 tu kutokana na kusumbuliwa na maumivu ya enka lakini atakuwa na bahati ya kuanzishwa katika mechi hizo zilizobaki ili kuonesha kama kweli ataonesha mwitikio wa kuonesha ubavu wake kama anastahili kubaki kwa mashetani wekundu wa Old Trafford.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox