STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumanne, 9 Juni 2015

ANGALIA STORI HII ILIYOANDIKWA LEO NA GAZETI LA MARCA KUHUSU CHELSEA

Habari njema kwa mashabiki wa Chelsea: Mlinzi wa kushoto wa klabu hiyo,  Luis Felipe hana mpango wa kuondoka Stamford Bridge kwenda Real Madrid majira ya kiangazi mwaka huu.
Ukurasa wa mbele wa gazeti la Marca leo umeripoti taarifa hiyo kwa headline hii  “Dice ‘no’ al Madrid ” (He says “no” to Madrid) yaani amesema haendi Real Madrid.
Kwa wiki kadhaa vyombo vya habari vya England na Hispania vimekuwa vikiripoti kwamba beki huyo raia wa Brazil mwenye miaka 29 hana furaha Chelsea na anataka kurudi Vicente Calderon, hivyo Real Madrid wanajaribu bahati yao.
Chelsea walimsajili Filipe Luis kwa mkataba wa miaka mitatu majira ya kiangazi mwaka jana kutoka Atletico Madrid kwa ada ya uhamisho ya paundi milioni 15.8
Kwasasa Felipe yupo kwenye kikosi cha timu ya taifa ya Brazil kinachojiandaa na michuano ya Copa America itayofanyika Chile.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox