KIUNGO wa kimataifa wa Brazil, Douglas Costa leo amethibitisha nia ya mabingwa wa Ujerumani Bayern Munich kutaka kumsajili lakini amedai hakuna dili lolote lililoafikiwa mpaka sasa. Nyota huyo mwenye umri wa miaka 24 ambaye anakipiga katika klabu ya Shakhtar Donetsk ya Ukraine amesema mazungumzo yanaendelea kufanyika kati ya klabu hizo mbili. Bayern wanataka kumsajili kiungo huyo ambaye pia anaweza kucheza kama winga kutokana na wasiwasi wa majeruhi ya muda mrefu wa mawinga wake Franck Ribery na Arjen Robben. Akihojiwa Costa amesema anafahamu kuwa mazungumzo kati ya klabu yake na Bayern yamefanyika lakini hajui kinachoendelea zaidi kufahamu Bayern wanataka kumsajili.
TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumatatu, 29 Juni 2015
COSTA ATHIBITISHA KUTAKIWA NA BAYERN.
About asantemuya
Soratemplates is a blogger resources site is a provider of high quality blogger template with premium looking layout and robust design. The main mission of templatesyard is to provide the best quality blogger templates.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA
Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

a

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni