STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumatatu, 8 Juni 2015

MANCHESTER UNITED NDIO KLABU TAJIRI DUNIANI


                 MANCHESTER UNITED NDIO KLABU TAJIRI DUNIANI;

KLABU ya Manchester United imezipiku Bayern Munich na Real Madrid na kurejea kileleni katika orodha ya klabu zenye thamani kubwa kwenye ulimwengu wa soka, kwa kufikisha utajiri wa dola za Kimarekani Bilioni 1.
Licha ya kumaliza msimu mwingine bila taji, United imezipiku timu tishio Ulaya kama bidhaa yenye thamani kubwa katika soka katika The Brand Finance Football 50, kwa mujibu wa taarifa ya leo.
Mashetani hao Wekundu kwa sasa wana thamani ya zaidi ya dola za Kimarekani Bilioni 1.2, ambayo ni karibu ya zaidi ya dola Milioni 300 zaidi ya Bayern wanaoshika nafasi ya pili. Real Madrid, Manchester City na Chelsea wamo ndani ya tano bora. 


ORODHA YA KLABU ZENYE THAMANI KUBWA DUNIANI
NafasiKlabuThamani yake (katika dola ya Marekani)Nafasi ya 2014 Mabadiliko tangu 2014 (dola ya Marekani)
1Manchester United12063467
2Bayern Munich933136
3Real Madrid8732104
4Manchester City8005290
5Chelsea7957293
6Barcelona7734151
7Arsenal7036198
8Liverpool5778108
9Paris Saint-Germain54110217
10Tottenham Hotspur36012111
11Juventus35013103
12Borussia Dortmund3269-1
13FC Schalke 0430211-12
14AC Milan244148
15Everton22820107
16West Ham United2092497
17AS Monaco202New(n/a)
18Southampton1833086
19Galatasaray1771736
20Inter Milan160157
21Aston Villa1552340
22Newcastle1552753
23Atletico Madrid1511924
24Napoli1472127
25Ajax14516-4
26Stoke City1404165
27Swansea135New(n/a)
28Bayer Leverkusen1352219
29Sunderland1343240
30Crystal Palace133New(n/a)
31Marseille1293338
32Stuttgart1212819
33Fenerbahce1203533
34Celtic1203836
35Roma117269
36Wolfsburg1163425
37West Brom1154242
38Lyon111251
39Valencia107298
40Benfica1033920
41Hamburg10318-35
42Leicester City102New(n/a)
43Sao Paulo954840
44Werder Bremen8831-6
45B Monchengladbach86New(n/a)
46PSV Eindhoven864527
47Sevilla81404
48Corinthians7936-8
49Lazio784416
50Fiorentina76New(n/a)

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox