
Arsenal wanajiandaa kusajili wachezaji wawili wa PSG Alexandre Lacazette na Nabil Fekir. Lakini pia Lyon na Liverpool wameonesha nia ya kutaka hudumu ya Lacazette ambaye ni mfungaji bora wa Ligue 1 msimu uliopita.
Source: le10sport.com
Sunday, June 14, 2015 08:16
Sunday, June 14, 2015 08:16

Falcao to Chelsea a done deal
|
|
Inasemekana jana jumamosi Radamel Falcao amekamilisha taratibu za usajili kutoka Monaco kuelekea Chelsea
Source: Record
Sunday, June 14, 2015 07:45
Sunday, June 14, 2015 07:45

Manchester City want Di Maria
|
|
Manchester City wameonesha dhamira ya kumsajili Angel Di Maria. Txiki Begiristain ambaye ni mmoja wa viongozi wa juu wa timu hiyo amejaribu kufanya mazungumzo na wakala wa mchezaji huyo kama mteja wake yupo taraji kuondoka Old Trafod na kuelekea Etihad.
Source: The Sunday Times
Sunday, June 14, 2015 00:07
Sunday, June 14, 2015 00:07
Sunday, June 14, 2015 07:09

Rooney wants Kane at United
|
|
Wayne Rooney amemoumba kocha wake Louis van Gaal aongeze dau lililokataliwa £40 million na Tottenham kwa ajili ya kumsajili mshambuliaji Harry Kane. Rooney anaamini akicheza sambamba na kinda huyo mwenye miaka 21 safu ya ushambulia ya timu hiyo itakuwa tisho kwenye msimu ujao.
Source: The Sun
Sunday, June 14, 2015 07:06
Sunday, June 14, 2015 07:06

Real Madrid willing to sell Casillas
|
|
Real Madrid wapo tayari kumuuza kipa wao Iker Casillas kuelekea Tottenh endapo kama Spurs watakubali kumuuza kipa wao Hugo Lloris akazibe nafasi ya De Gea pale United.
Source: Daily Mail
Sunday, June 14, 2015 00:18
Sunday, June 14, 2015 00:18

Everton to sign Deulofeu
|
|
Everton are set to complete the signing of Gerard Deulofeu from Barcelona for €4 million (£3m). The Toffees have beaten off competition from other Premier League clubs to land the 21-year-old.
Source: Daily Mail
Sunday, June 14, 2015 00:04
Sunday, June 14, 2015 00:04

Roma renew Dzeko interest
|
|
Roma wamefufua tena nia yao kutaka saini ya mshambuliaji aliyekusa namba ya kudumu kwenye kikosi cha Man City Edin Dzeko. Mchezaji huyo kutoka Bosnia ameruhusiwa kuondoka klabuni hapo endapo itatokea timu kumuhitaji na dau lake ni paund milion 20
Source: Daily Mail
Sunday, June 14, 2015 00:02
Sunday, June 14, 2015 00:02

Ronaldo tells Real Madrid he wants to stay
|
|
Cristiano Ronaldo amewaambia Real Madrid kwamba anahitaji kubaki kwenye timu hilo kwenye msimu ujao. Mchezaji huyo wa kimataifa kutoka Ureno amekuwa akihusishwa na kutaka kujiunga na matajiri wa Ufaransa PSG
.
Source: Daily Mail
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni