STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumatatu, 15 Juni 2015

TETESI ZA USAJILI ULAYA MAGAZETI LEO YAMEANDIKA HIVI, COURTOIS ATAKA KUONDOKA CHELSEA

Kiungo mshambuliaji wa Barcelona na timu ya taifa ya Brazil  neymar Jr amesema ameboresha mkataba na timu hiyo mkataba utakao muweka klabuni hapo mpaka mwaka 2020, mkataba wenye thamani ya paundi milioni12 kwa mwaka.
 
Source: Sport
Monday, June 15, 2015 09:53

Chelsea wanajipanga kupambana kumbakisha kipa wao chaguo la kwanza Thibaut Courtois. Mlinda mlango huyo hatimaye amehitaji kurudi kucheza kwenye ligi kuu ya Hispania, lakini safari hii kwenye timu ya Real Madrid. Uwezekano wa yeye kubaki darajani pengine mpango wa Madrid wa kumsajili David de Gea ukamilike huenda kipa huyo akabakia Chelsea.
Source: Evening Standard
Monday, June 15, 2015 12:03
Manchester United  wamejitoa kwenye mbio za kutaka saini ya mshambuliaji wa Atletico Madrid  Mario Mandzukic baada yaWolfsburg nao kuingilia kati mpango wa kumsajili mchezaji huyo. Miamba hiyo ya Ujerumani wanatafuta mrithi wa mshambuliaji wao Bas Dost  ambaye anataraji kuondoka klabuni hapo
Source: Daily Express
Monday, June 15, 2015 11:42

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox