Miamba
ya soka ya Italia klabu ya AC Milan chini ya mkurugenzi wake mkuu Bw.
Barbara Berlusconi imezindua mkakati wa kujenga uwanja mpya wa klabu
hiyo kongwe kwenye soka la Italia na duniani ikiwa ni baada ya kutumia
uwanja mmoja (Sansiro) na klabu ya Inter Milan.
Berlusconi anaamini kama uwanja
huo utakamilika, utaweza kuisaidia klabu hiyo kupata pato la hadi
kufikia pauni milioniza Ungereza 35.5 kila mwaka.
Uwanja huo mpya unatarajiwa kuanza kutumika kwenye msimu wa mwaka 2018-2019.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni