Mabingwa wa ligi kuu nchini Uingereza Chelsea wamekuwa vinara kwa mauzo ya tiketi msimu uliomalizika 2014/15 ukilinganisha na idadi ya watu wanao hitajika katika uwanja.

Ifuatayo ni orodha kamili ya mauzo ya tiketi na idadi ya mashabiki inayo takiwa uwanjani kwa vilabu vyote nchini Uingereza katika madaraja mbalimbali



Hakuna maoni:
Chapisha Maoni