STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Ijumaa, 17 Julai 2015

HABARI NJEMA KWA MASHABIKI WA MANCHESTER UNITED BAADA YA REAL MADRID KUMSAJILI KIPA HUYU

Real Madrid wamethibitisha kumsajili Golikipa wa Espanyol,  Kiko Casilla.
Casilla, ambaye alicheza soka la utotoni katika klabu hiyo ya Real anarejea Bernabeu kwa dau la Euro milioni 6 baada ya kukaa miaka nane tangu aondoke Los Blancos kujiunga na Espanyol.
Kipa huyo mwenye miaka 28 anajiandaa kusaini mkataba wa miaka mitano huenda zikawa habari njema kwa mashabiki wa Manchester united kutokana na Real Madrid kuhusishwa mara kwa mara kumuhitaji David De Gea 

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox