STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Ijumaa, 17 Julai 2015

ORODHA KAMILI YA VILABU 50 TAJIRI DUNIANI


















KLABU ya Real Madrid ya Hispania ndiyo yenye themani kubwa zaidi katika michezo, mbele ya wababe wa NFL, Dallas Cowboys na MLB, New York Yankees kwa mwaka wa tatu mfululizo wajiwa waaongoza kwenye listi ya mwaka ya jarida la Forbes.

Washindi hao mara 10 wa Ligi ya Mabingwa Ulaya wanaongoza orodha ya jarida hilo wakiwazidi kwa zaidi ya Pauni Milioni 50 wapinzani wao wa La Liga, Barcelona wenye thamani ya Pauni Milioni 2,087.

Manchester United ndiyo klabu pekee ya Ligi Kuu England iliyoingia katika 10 Bora, wakifuatiwa na Manchester City, Chelsea na Arsenal katika orodha ndefu ya 50 Bora duniani.


KLABU ZA SOKA TAJIRI ZAIDI DUNIANI 

1. Real Madrid (klabu ya wanachama) Pauni Milioni 2,087
2. Barcelona (klabu ya wanachama) Pauni Milioni 2,023
3. Manchester United (familia ya Glazer) Pauni Milioni 1,985
4. Bayern Munich (klabu ya wanachama) Pauni Milioni 1,502
5. Manchester City (inamilikiwa na Sheikh Mansour bin Zayed Al Nahyan) Pauni Milioni 879
6. Chelsea (inamilikiwa na Roman Abramovich) Pauni Milioni 876
7. Arsenal (inamilikiwa na Stanley Kroenke) Pauni Milioni 836 
Jarida hilo la biashara la Amerika, Forbes limekuwa likitathmini timu katika michezo mikubwa na ligi mbalimbali tangu mwaka 1998, na timu kutoka nchini mwao, Marekani zimetawala kwenye orodha huku kwenye soka klabu saba tu zimeingia.

Nyuma ya Barca, wenye thamani ya Pauni Milioni 2,023 katika nafasi ya nne, kuna Man United, wenye thamani ya Pauni Milioni 1,975 kwenye nafasi ya tano, Los Angeles Lakers, New England Patriots, New York Knicks, Los Angeles Dodgers na Washington Redskins wanakamilisha 10 Bora.

Mabingwa wa Bundesliga, Bayern Munich wako nje ya 10 Bora wakiwa na thamani ya Pauni Milioni 1,502. Manchester City wapo nafasi ya 29, Chelsea nafasi ya 30 na Arsenal wapo nafasi ya 36.

Cha kufurahisha zaidi, timu za tatu zilizo juu kutoka Ulaya bara zinamilikiwa na wanachama, wakati timu za England zilizomo 50 Bora zote zinamilikiwa na watu binafsi.


TIMU 50 ZENYE THAMANI KUBWA ZAIDI DUNIANI KWA MUJIBU WA JARIDA LA FORBES

1. Real Madrid (klabu ya wanachama) Pauni Milioni 2,087
2. Dallas Cowboys (mmiliki Jerry Jones) Pauni Milioni 2,047 
2. New York Yankees (familia ya Steinbrenner) Pauni Milioni 2,047
4. Barcelona (klabu ya wanachama) Pauni Milioni 2,023
5. Manchester United (familia ya Glazer) Pauni Milioni 1,985
6. Los Angeles Lakers (familia ya Jerry Buss, Philip Anschutz) Pauni Milioni 1,663
6. New England Patriots (mmiliki Robert Kraft) Pauni Milioni 1,663
8. New York Knicks (kampuni ya Madison Square Garden) Pauni Milioni 1,599
9. Los Angeles Dodgers (Guggenheim Baseball Management) Pauni Milioni 1,535
9. Washington Redskins (mmiliki Daniel Snyder) Pauni Milioni 1,535
11. Bayern Munich (klabu ya wanachama) Pauni Milioni 1,502
12. Boston Red Sox (John Henry na Thomas Werner) Pauni Milioni 1,343
12. New York Giants (John Mara, Steven Tisch) Pauni Milioni 1,343
14. Chicago Bulls (Jerry Reinsdorf) Pauni Milioni 1,279
14. San Francisco Giants (Charles Johnson) Pauni Milioni 1,279
16. Houston Texans (Robert McNair) Pauni Milioni 1,183
17. Chicago Cubs (familia ya Ricketts) Pauni Milioni 1,151
17. New York Jets (Robert Wood Johnson IV) Pauni Milioni 1,151
19. Philadelphia Eagles (Jeffrey Lurie) Pauni Milioni 1,119
20. Boston Celtics (Wycliffe na Irving Grousbeck, Robert Epstein, Stephen Pagliuca) Pauni Milioni 1,087
20. Chicago Bears (McCaskey family) Pauni Milioni 1,087
22. Los Angeles Clippers (Steve Ballmer) Pauni Milioni 1,023
22. San Francisco 49ers (John & Denise DeBartolo York) Pauni MIlioni 1,023 
24. Baltimore Ravens (Stephen Bisciotti) Pauni Milioni 959
24. Brooklyn Nets (Mikhail Prokhorov, Bruce Ratner) £959m ($1,500m)
26. Denver Broncos (Pat Bowlen Trust) £927m ($1,450m)
27. Indianapolis Colts (James Irsay) £895m ($1,400m)
27. St Louis Cardinals (William DeWitt Jr) £895m ($1,400m)
29. Green Bay Packers (Shareholder-owned) £879m ($1,375m)
29. Manchester City (Sheikh Mansour bin Zayed Al Nahyan) £879m ($1,375m)
31. Chelsea (Roman Abramovich) £876m ($1,370m)
32. Ferrari (Fiat Group) £863m ($1,350m)
32. New York Mets (Fred & Jeff Wilpon, Saul Katz) £863m ($1,350m)
32. Pittsburgh Steelers (Daniel Rooney, Art Rooney II) £863m ($1,350m)
35. Seattle Seahawks (Paul Allen) £851m ($1,330m)
36. Arsenal (Stanley Kroenke) £836 ($1,307m)
37. Golden State Warriors (Joe Lacob, Peter Guber) £831m ($1,300m)
37. Los Angeles Angels of Anaheim (Arturo Moreno) £831m ($1,300m)
37. Miami Dolphins (Stephen Ross) £831m ($1,300m)
37. Toronto Maple Leafs (Bell Canada, Rogers Communications) £831m ($1,300m)
41. Washington Nationals (Lerner Family) £819m ($1,280m)
42. Carolina Panthers (Jerry Richardson, Carolina PSLFC) £799m ($1,250m)
42. Houston Rockets (Leslie Alexander) £799m ($1,250m)
42. Philadelphia Phillies (Partnership led by Pat Gillick) £799m ($1,250m)
45. Tampa Bay Buccaneers (Glazer Family) £783m ($1,225m)
46. Texas Rangers (Ray Davis, Bob Davis) £780m ($1,220m)
47. Miami Heat (Micky Arison) £752m ($1,175m) 
48. Tennessee Titans (Adams Family) £742m ($1,160m)
49. Atlanta Braves (Liberty Media) £736m ($1,150m)
49. Dallas Mavericks (Mark Cuban) £736m ($1,150m)
49. Minnesota Vikings (Zygmunt Wilf) £736m ($1,150m)

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox