STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumatano, 22 Julai 2015

Viwanja 10 vya Soka Vilivyojengwa kwa Gharama Zaidi Duniani

 1. Uwanja wa Metlife stadium upo katika mji wa East Rutherford, Marekani, una uwezo wa kuchukua mashabiki 80,000-uligharimu kiasi cha dola bilioni 1.6



 2. Uwanja wa Yankees Stadium upo New York, ulijengwa mwaka 2009 na kugharimu kiasi cha dola bilioni 1.50

 3. Uwanja wa Olympic Stadium upo Montreal, Canada, ulijengwa mwaka 2004 na kugharimu kiasi cha dola bilioni 1.47

 4. Uwanja wa AT&T Stadium, upo Texas-ilijengwa mwaka 2009 na kugharimu kiasi cha dola bilioni 1.4

 5. Uwanja wa Wembley Stadium upo London Uingereza-umegharimu kiasi cha dola bilioni 1.35


 6. Uwanja wa Madson Square Garden upo New York, Marekani-umegharimu kiasi cha dola bilioni 1.1

 7. Uwanja wa Nissan Stadium upo katika mji wa Yokohama, Japan-umegharimu kiasi cha dola milioni 990

 8. Uwanja wa Stade Stadium de France, umetumia kiasi cha dola milioni 974 na una uwezo wa kubeba watu 80,000

 9. Uwanja wa Rogers Center upo TorontoCanada-ulijengwa mwaka 2005 na kugharimu kiasi cha dola milioni 930

10. Uwanja wa Jamsil Olympic stadium upo Korea Kusini, ulijengwa mwaka 1988 na kugharimu kiasi cha dola milioni 923



Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox