Mashetani Wekundu, Manchester United wamepata ushindi wa pili mfululizo katika mechi mbili walizocheza za ligi kuu England.
Man
United walioanza ligi kwa kuifunga 1-0 Tottenhma mwishoni mwa Juma
lililopita, usiku huu wamevuna ushindi kama huo ugenini dhidi ya Astona
Villa.
Bao
pekee la wakali hao wa Old Trafford wanaonolewa na Louis van Gaal
limefungwa dakika ya 29 na Adnan Junazaj akipokea pasi murua kutoka kwa
Mhispania, Juan Mata.
Hizi ni takwimu za mechi yenyewe:
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni