STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumanne, 25 Agosti 2015

MTUKUTU SUPER MARIO BALOTELLI KASEPA LIVERPOOL.......


2BA42FE500000578-3209049-image-a-14_1440489938281


Mario Balotelli amerejea kwao Italia ambako anajiunga na AC Milan.

Balotelli alikuwa AC Milan, timu ambayo ilimnunua kutoka Liverpool ambayo imekubali kumuachia kwa mkopo.
Balotelli Mambo yake yamekuwa hayamuendei poa akiwa na Liverpool ambayo wiki chache zilizopita imekubali kumsajili Christian Benteke.

TAKWIMU ZA  BALOTELLI

Liverpool (2014-15): 16 games; one goal
AC Milan (2013-14): 43 games; 26 goals
Man City (2010-13):  54 games; 20 goals
Inter Milan (2006-10): five games; two goals 
Total cost: £59million 


ALIPOKUWA AC MILAN

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox