STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumanne, 25 Agosti 2015

JUAN CUADRADO ATIMKIA JUVENTUS....


Licha ya kupokelewa Juventus kwa shangwe kubwa, kiungo Mcolombia, Juan Cuadrado ameingia kwenye kundi la waliofeli Chelsea.



Yaani wachezaji waliosajiliwa kwa fedha nyingi, halafu wakashindwa kuonyesha cheche.
 
Alinunuliwa kwa pauni milioni 24, akitokea Fiorentina ya Italia, akaanza mechi nne na kuichezea Chelsea mechi 13 za Premier League lakini akashindwa kung’ara.
Labda Italia alipopazoa, anaweza akaonyesha mambo mambo yake lakini ameungana na watu kama Fernando Torres, Juan Sepestian Veron na Adrey Shevchenko ambao Chelsea iliwashinda.



Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox