
Bondia wa kimataifa Floyd Mayweather azidi kutamba kwa utajiri alionao achilia mbali kutojua kiasi cha pesa zake zilizopo benki kutokana na kuwa na kiasi kikubwa cha fedha nyumbani kwake.
Tizama mkoko huu alioununua

Gari la kifahari alilonunua bondia huyo aina ya Koenigsegg CCXR Trevita lenye thamani ya dola milioni 4.8.

Aina hii ya gari yapo mawili tu duniani kote mpaka sasa.
Hivi ndivyo alivyoandika kwenye ukurasa wake wa @Instagram

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni