STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumanne, 25 Agosti 2015

BENZEMA AICHINJIA ARSENAL BAHARINI, HIKI NDICHO ALICHOKISEMA........



0_138137714705_news

Karim Benzema ambaye ni mshambuliaji wa kimataifa wa Ufaransa mwenye asili ya Algeria alikuwa ana uhusishwa kuhama katika klabu yake ya sasa ya Real Madrid na kujiunga na klabu ya Arsenal licha ya vilabu vingi kumuhitaji ila Arsenal ilikuwa inapewa nafasi kubwa ya kumsajili Benzema.

Klabu ya Real Madrid imesisitiza kuwa haiwezi kumuachia nyota huyo aondoke, taarifa hizo ilikuwa kabla ya Benzema hajathibitisha kuwa anataka kuondoka au hataki, ila post yake ya twitter aliyopost August 24 ina jibu maswali yote ya Benzema atacheza wapi msimu ujao. Jibu ni rahisi tu atabakia Madrid kwa mujibu wa tweet yake.

karimu

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox