STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumanne, 25 Agosti 2015

BAADA YA KUIFUNGIA CHELSEA GOLI PEDRO AREJEA BARCELONA..........


2B9F9C5D00000578-3208736-Pedro_spoke_at_Barca_s_training_ground_to_say_farewell_to_all_th-a-114_1440420542197 (1)

Winga mshambuliaji mpya aliyejiunga na klabu ya Chelsea siku chache zilizopita akitokea katika klabu ya FC Barcelona ya Hispania Pedro Rodriguez August 23 alicheza mchezo wake wa kwanza akiwa na klabu yake mpya ya Chelsea na kufanikiwa kufunga goli.

2B9FBB6F00000578-3208736-image-a-135_1440421181486

Ndani ya masaa 24 toka Pedro afunge goli amerudi katika klabu yake ya zamani ya FC Barcelona kuaga rasmi wachezaji wenzake wazamani, Pedro alipewa muda wa kwenda kuaga katika klabu ambayo ameitumikia kwa takribani miaka 10.

2B9FB04200000578-3208736-Andres_Iniesta_left_Lionel_Messi_centre_and_Sergio_Busquets_were-a-117_1440420542234

Pedro akiwa katika press room ambako kulikuwa na wachezaji zaidi ya 20 wakimuaga akiwemo Messi, Neymar na Gerard Pique

Siku kadhaa zimepita toka Pedro Rodriguez ajiunga na klabu ya Chelsea akitokea klabu ya FC Barcelona ya Hispania kwa dau la pound milioni 21.4. Hivyo alirudi Hispania kuaga wachezaji wenzake ambao wengine ameishi nao katika kipindi cha zaidi ya miaka 6.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox