STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumanne, 25 Agosti 2015

TIZAMA JUMBA HILI LA CRISTIAN RONALDO ALILO NUNUA NEW YORK......


Ronaldo-main

Mshambuliaji wa kimataifa wa Ureno ambaye anaichezea klabu ya Real Madrid ya Hispania Cristiano Ronaldo amefanikiwa kununua jumba la kifahari lililopo katika mji wa New York Marekani kwa dola za kimareka milioni 18 ambazo ni zaidi ya bilioni 30 za Kitanzania.

Cristiano-Ronaldo-New-York-Apartment (2)

Cristiano-Ronaldo-New-York-Apartment (1)


Inaripotiwa kuwa wazo la Ronaldo kununua nyumba hilo alilipata kutoka katika novel ya â€™50 Shades of Grey’ hata hivyo ununuaji wa nyumba hiyo kwa Ronaldo unaongeza uvumi kuwa huenda ana mpango wa kwenda kucheza katika Ligi Kuu Marekani kabla hajastaafu soka.


Cristiano-Ronaldo-New-York-Apartment

Trump-Tower-on-Fifth-Avenue

Cristiano-Ronaldo-New-York-Apartment (6)

Cristiano-Ronaldo-New-York-Apartment (5)

Cristiano-Ronaldo-New-York-Apartment (4)

Cristiano-Ronaldo-New-York-Apartment (3)

Cristiano-Ronaldo-New-York-Apartment (9)

Cristiano-Ronaldo-New-York-Apartment (8)

Ukiwa juu muonekano wa maeneo jirani

Cristiano-Ronaldo-New-York-Apartment (7)

Chumba cha kulala

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox