Algeria imetangaza kikosi chake cha wachezaji 25 ambao wanajiandaa kucheza dhidi ya Taifa Stars kwenye makundi ya kufuzu kombe la dunia. Taifa Stars ipo South Africa ambapo imeweka kambi na mechi ya kwanza itafanyika Jumamosi kwenye uwanja wa Taifa.
Hiki ndicho kikosi cha Algeria.
Goal keepers: Rais M’Bolhi (Antalyaspor / Uturuki), Azzedine Doukha (JS Kabylie), Malik Asselah (CR Belouizdad).
Viungo: Mehdi Zeffane (Rennes / Ufaransa), Mohamed Khoutir Ziti (JS Kabylie), Faouzi Ghoulam (Napoli / Italia), Djamel Mesbah (Sampdoria / Italia), Carl Medjani (Trabzonspor / Uturuki),Aïssa Mandi (Reims / Ufaransa), Hichem Belkaroui (Club Africain / Tunisia), Rami Bensebaini (Montpellier / Ufaransa).
Saphir Taïder (Bologna / Italia), Nabil Bentaleb (Tottenham / Uingereza), Walid Mesloub (Lorient / Ufaransa), Mehdi Abeid (Panathinaikos / Ugiriki), Adelene Guedioura (Watford / Uingereza).
Sofiane Feghouli (Valencia / Hispania), Ryad Mahrez (Leicester / Uingereza) Yacine Brahimi (Porto / Ureno ), Ryad Boudebouz (Montpellier / Ufaransa), Said Benrahma (Nice / Ufaransa), Rachid Ghezzal (Lyon / Ufaransa)
Washambuliaji: Islam Slimani (Sporting / Ureno), Baghdad Bounedjah (ES Sahel / Tunisia), Ishak Belfodil (Bani Yas / United Arab Emirates)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni