Baada ya kutwaa tuzo ya mchezaji bora wa mwezi ligi kuu ya Uingereza,Epl mshambuliaji raia wa Uingereza na klabu ya Leicester City Jamie Vardy amekuwa mchezaji wa kwanza katika klabu hiyo kuchukua tuzo hiyo baada ya miaka 15.
Mara ya mwisho kwa mchezaji wa Leicester kuchukua tuzo alikuwa ni golikipa Tim Flowers alipochukua mwezi wa tisa mwaka 2000 pamoja na kocha Peter Taylor.
.
Jamie Vardy mshambuliaji wa Leicester City ndie mchezaji bora wa mwezi October 2015
Goalkeeper Tim Flowers (kulia) akiwa na tuzo September 2000.
Anthony Martial wa Manchester United mshindi wa September 2015 kabla ya Vardy.
ORODHA YA WASHINDI TANGU 1994 KWA KILA MWEZI:`
Sir Alex Ferguson na Eric Cantona wakichukua tuzo March 1996.
Paulo Wanchope mshambuliaji wa Costa Rica na Derby County akishinda October 1997.
Mchezaji wa Trinidad na Tobago's Dwight Yorke (kushoto) alitwaa January 1999 apo akiwa na Andy Cole.
Aston Villa's Paul Merson wa Aston Villa (kulia) akitwaa tuzo mwezi February 2000.
MCHEZAJI ALIE CHUKUA MARA NYINGI ZAIDI TUZO HII:
Frank Lampard (kulia} September 2003
Arjen Robben (kushoto)na Jose Mourinho November 2004
Wayne Rooney (kushoto) na Ferguson hold February 2005
MATAIFA VINARA KATIKA TUZO HII:
Danny Murphy wa Charlton Athletic September 2005
Andrew Johnson akishanda ya mwezi September 2006 akiwa na kocha wa zamani wa EvertonDavid Moyes
Robbie Keane (kushoto) na Dimitar Berbatov (kulia) wakishinda April 2007
NAFASI ZA UWANJANI AMBAZO WACHEZAJI WAMECHUKUA MARA NYINGI:
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni