Hiki ni kipigo cha kwanza tokea Kocha Rafa Benitez
aanza kuifundisha Real Madrid.
Madrid imekumbana na kipigo cha mabao 3-2 kutoka kwa
wenyeji wake Sevilla.
Sevilla: Sergio Rico, Mariano Ferreira, Rami,
Andreolli (Kolodziejczak 83), Tremoulinas, Krychowiak, N'Zonzi, Vitolo, Banega
(Krohn-Dehli 78), Konoplyanka, Immobile (Llorente 70).
Wafungaji: Immobile 36, Banega 60, Llorente 75.
Real Madrid: Casilla, Danilo, Pepe, Ramos (Varane
31), Nacho; Casemiro, Kroos (Jese 79), Modric, Isco (James 63), Cristiano,
Bale.
Wafungaji: Ramos 22, James 90.
Referee: Gonzalez Gonzalez.
Attendance: 40,377
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni