Mechi
ya kirafiki kati ya Hispania dhidi ya wenyeji wake Ubelgiji imeahirishwa.
Mechi
hiyo imeahirishwa kutokana na hofu ya masuala ya ugaidi.
Hispania
walikuwa tayari kuicheza mechi hiyo, lakini hofu ya ugaidi imeilazimu serikali
ya Ubelgiji kuweka msisitizo kwamba mechi haitakuwepo.
Tayari
Hispania walikuwa wamewatua Brussels kwa ajili ya mechi hiyo. Lakini
haitakuwepo.
Miji ya Ubelgiji iko katika ulinzi na uangalizi mkali baada ya shambulio la kigaidi Paris, Ufaransa ambalo limeua watu 129.
Inaelezwa mipango kadhaa ya shambulio hilo la kigaidi ilifanyika Ubelgiji.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni