STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Ijumaa, 6 Novemba 2015

KLOPP KWELI ANATAFUTA KIKOSI TIZAMA MABADILIKO ALIYO FANYA MICHEZO MITANO............



Kocha Jurgen Klopp ameonyesha kuwa uwezo mkubwa wa kujiamini akiwa na Liverpool inayoonekana kama haina kitu.

Maana kwa mechi tano mfululizo, Mjerumani huyo amekuwa akibadili kikosi kuonyesha kuna kikosi anachokitafuta na raha zaidi, hajapoteza hata mara moja.


ANGALIA KLOPP ALIYOANZA TOFAUTI MECHI ZOTE TANO:
1: Tottenham 0 Liverpool 0 – Premier League.
2: Liverpool 1 Rubin Kazan 1 – Europa League. 3: Liverpool 1 Southampton 1 –Premier League.
 4: Liverpool 1 Bournemouth 0 – Capital One. 
5: Chelsea 1 Liverpool 3 – Premier League. 6: Rubin Kazan 0 Liverpool 1 – Europa League

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox