STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Ijumaa, 6 Novemba 2015

WACHEZAJI HAWA NDIO WANAOWANIA TUZO YA GOLI BORA LA MWAKA 2015 (PUSKAS)................


Puskas Award ni tuzo ambayo ilianzishwa October 20 mwaka 2009 na shirikisho la soka duniani FIFA kwa amri ya Rais wa FIFA Sepp Blatter, tuzo hii uhusisha magoli bora kwa mwaka husika ambapo yatachujwa hadi kufikia moja ambalo mfungaji wake atapewa tuzo ya ufungaji bora kwa mwaka husika.

Usiku wa November 6 shirikisho la soka ulimwenguni FIFA limetangaza magoli 1o bora yaliofungwa kwa mwaka 2015 ila November 30 watachuja na kutangaza magoli bora matatu ambayo January 11 2016 Zurich Uswiss watatangaza goli moja bora na mshindi atapewa tuzo ya ufungaji wa goli bora la dunia, miongoni mwa magoli bora yaliotajwa ni goli la Lionel Messi, Carlos Tevez na David Ball.


DAVID BALL | FLEETWOOD TOWN VS PRESTON | MARCH 29, 2015



GONZALO CASTRO | REAL SOCIEDAD – DEPORTIVO LA CORUNA | APRIL 12, 2015



ALESSANDRO FLORENZI | ROMA – BARCELONA | SEPTEMBER 16, 2015



WENDELL LIRA | ATLETICO GOIANIENSE – GOIANESIA | MARCH 11, 2015



CARLI LLOYD | USA – JAPAN | JULY 5, 2015



LIONEL MESSI | ATHLETIC BILBAO – BARCELONA | MAY 30, 2015



PHILIPPE MEXES | AC MILAN – INTER | JULY 25, 2015



MARCEL NDJENG | PADERBORN – BOLTON | JULY 13, 2015



ESTEBAN RAMIREZ | HEREDIANO – DEPORTIVO SAPRISSA | NOVEMBER 2, 2014



CARLOS TEVEZ | JUVENTUS – PARMA | NOVEMBER 9, 2014

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox