Neymar akifunga goli bora kabisa
Kweli mshambuliaji nyota wa Barcelona, Lionel Messi ni
majeruhi, lakini Barcelona bado ina ‘watu’.
Neymar amethibitisha hilo baada ya kuifungia mabao
mawili wakati ikiitandika Villareal kwa mabao 3-0 katika mechi ya La Liga.
Aliyemalizia kazi hiyo ni Luis Suarez ambaye alifunga bao hilo moja.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni