STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumatatu, 2 Novemba 2015

ORODHA YA WACHEZAJI 10 WANAOWANIA TUZO ZA MCHEZAJI BORA BARANI AFRIKA,SAMATTA NDANI YA ORODHA...........

Shirikisho la mpira wa miguu barani Afrika CAF huwa linautamaduni wa kutoa Tuzo ya mchezaji bora wa Afrika kila mwaka, kama ambavyo Shirirkisho la mpira wa miguu barani Ulaya UEFA wanavyokuwa wanaandaa Tuzo ya mchezaji bora Ulaya, basi Afrika huwa wanaandaa Tuzo hizo kwa wachezaji wanaocheza ndani ya Afrika na nje ya Afrika.
CAF-African-Player-of-the-Year
Hii ni Top 10 ya wachezaji wanaowania tuzo ya mchezaji bora wa Afrika

November 2 wametangaza Top 10 ya majina yaliofanikiwa kuingia katika Top 10 hiyo kwa wachezaji wa ndani na nje ya Afrika. Good news ni kuwa mtanzania Mbwana Samatta ambaye anakipiga katika klabu ya TP Mazembe ndio mchezaji pekee kutoka Afrika Mashariki aliyekuwemo katika list hiyo, Hii ni List ya majina 20 ya wachezaji waliochaguliwa kuingia katika Top 10 ya wachezaji wanaocheza ndani ya Afrika na Top 10 ya wachezaji wanaocheza nje ya Afrika.

IMG_20151102_222556
Hii ni Top 10 ya wachezaji wanaowania tuzo ya mchezaji bora Afrika kwa Wanaocheza ndani ya Afrika
  1. Abdeladim Khadrouf (Morocco & Moghreb Tetouan)
  2. Baghdad Bounedjah ( Algeria & Etoile du Sahel)
  3. Felipe Ovono (Equatorial Guinea & Orlando Pirates)
  4. Kermit Erasmus (South Africa & Orlando Pirates)
  5. Mbwana Aly Samatta (Tanzania & TP Mazembe)
  6. Mohamed Meftah ( Algeria & USM Alger)
  7. Mudather Eltaib Ibrahim ‘Karika’ (Sudan & El Hilal)
  8. Robert Kidiaba Muteba ( DR Congo & TP Mazembe)
  9. Roger Assalé (Cote d’Ivoire & TP Mazembe)
  10. Zineddine Ferhat (Algeria & USM Alger)
Top 10 ya wachezaji wanaocheza nje ya Afrika
  1. André Ayew (Ghana & Swansea)
  2. Aymen Abdennour (Tunisia & Valencia)
  3. Mudather Eltaib Ibrahim ‘Karika’ (Sudan & El Hilal)
  4. Mohamed Salah (Egypt & Roma)
  5. Pierre-Emerick Aubameyang (Gabon & Borussia Dortmund)
  6. Sadio Mané (Senegal & Southampton)
  7. Serge Aurier (Cote d’Ivoire & Paris Saint Germain)
  8. Sofiane Feghouli (Algeria & Valencia)
  9. Yacine Brahimi ( Algeria & Porto)
  10. Yaya Touré (Cote d’Ivoire & Manchester City)
Namna ya kumpata mshindi wa tuzo hiyo ni kwa njia ya kupiga kura kwa makocha wa timu za taifa au wakurugenzi wa ufundi wa mashirikisho wanachama wa CAF. Tuzo hizo za mchezaji bora wa Afrika kwa 2015 zitatolewa Alhamisi ya January 7 2016 Abuja Nigeria.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox