NAHODHA wa Chelsea, John
 Terry amekiri kuwa bado hajafanya mazungumzo yeyote na klabu hiyo 
kuhusu mkataba mpya lakini ana uhakika kuwa anaweza kuendelea kuitumikia
 katika msimu ujao wa Ligi Kuu. Terry mwenye umri wa miaka 34 amekuwa 
nguzo muhimu katika safu ya ulinzi ya kikosi cha Jose Mourinho msimu huu
 akiwa amecheza pia katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya 
Paris Saint-Germain waliotoka sare ya bao 1-1 Juzi. Mkataba wa sasa wa 
Terry unamalizika mwishoni mwa mwezi Juni na kutokana na kuachiwa 
kuondoka kwa wakongwe wengine akiwemo Frank Lampard na Ashley Cole msimu
 uliopita kuna uwezekano pia Terry nao akaondoka. Akihojiwa Terry 
amesema klabu hiyo inajua nafasi yake pamoja na kutozungumza chochote 
kwani anajua kuna wachezaji wengine muhimu ambao wanatakiwa kubaki 
kuliko yeye.
TANGAZA NASI: +255 655 442 255
CHANZI OPEN SCHOOL
Ijumaa, 20 Februari 2015
TERRY ADAI BADO KUFANYA MAZUNGUMZO YA MKATABA NA CHELSEA.
About asantemuya
Soratemplates is a blogger resources site is a provider of high quality blogger template with premium looking layout and robust design. The main mission of templatesyard is to provide the best quality blogger templates.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA
Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...
TIBA YA KIIMANI
a



Hakuna maoni:
Chapisha Maoni