Kama hukuwahi kusikia hili, acha nikueleze
kuhusiana na ubabe wa Cristiano Ronaldo dhidi ya Sevilla.
Mreno huyo tayari amefunga hat
trick tano katika mechi ambazo amekutana na kikosi hicho kigumu tokea alipotua
Madrid akitokea Manchester United.
Pia amefunga jumla ya mabao 19
dhidi ya timu hiyo maarufu kama Andalusian. Alianza kuiadhibu katika mechi ya
msimu wa 2010-11 alipofunga mabao manne katika ushindi wa 6-2.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni