Barrett akimfuata Rooney katika upande wa kushoto wa jukwaa
Rooney alimzaba kibao bingwa huyo Barrett na
kuamsha shangwe toka kwa mashabiki baada ya kukerwa na maneno ya dharau
aliyokuwa akiporomoshewa hasa baada ya kudaiwa kuwa msimu uliopita alijiangusha
ili apewe penati katika mchezo wa kombe la FA dhidi ya Preston North End ambayo
Barret ni shabiki wake namba moja.
TIZAMA VIDEO YA ROONEY AKIMPIGA KIBAO WADE BARETTI
ROONEY MMH NOMA AMZABA
KIBAO BINGWA WA MIELEKA KAMA MWANAE VILE
Manchester,England.
Wayne Rooney ni ameonyesha kuwa yeye ni mbabe kweli kweli baada ya jana
jumatatu usiku kumzaba kibao bingwa wa mieleka Wade Barret mbele ya
mashabiki lukuki katika ukumbi wa Manchester Arena.
Rooney alimzaba kibao bingwa huyo na kuamsha shangwe toka kwa mashabiki
baada ya kukerwa na maneno ya dharau aliyokuwa akiporomoshewa hasa baada
ya kudaiwa kuwa msimu uliopita alijiangusha ili apewe penati katika
mchezo wa kombe la FA dhidi ya Preston North End ambayo Barret ni
shabiki wake namba moja.
Rooney alifika katika ukumbi huo aliwa na nyota wenzie Ryan Giggs,Darren
Fletcher na mwanae Kai ndipo Barret alipokamata kipaza sauti na kusema
huo ukumbini kulikuwa na wanaume wawili mabingwa kuliko Rooney na
Manchester United na kuamsha hasira za mshambuliaji huko wa England.
PICHA ZAIDI ZA TUKIO HILO
Shouting match: Rooney points his finger at Barrett and fellow WWE star
Sheamus, right, who was part of the skit
Slap attack: Rooney responds to being goaded by slapping Barrett, as son
Kai watches on (centre) and fans cheer
Copy the BEST Traders and Make Money : http://bit.ly/fxzulu
Copy the BEST Traders and Make Money : http://bit.ly/fxzulu
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni